Wanaume bana!

kama mwanaume anamisimamo na ww utamuona tu ila kama ni mlaghai utamjua tu mapemaa kuweni makini
 
Naam mdada anakuwa mwenye amani na furaha tele kwa kuwa amekuweka pahali sahihi na moyo wake unaamini kuwa wewe ndiwe mtu sahihi kwake.
Pole sana kama yamekukuta.
Kazi yake kusukuma damu.
 
Nafsi imenisuta nimeshindwa hadi kukoment.
Hahahahahahaha ila kuna ukweli aisee! Ila tatizo nao huwa wanatusumbua sana mwanzoni mpaka akija kukubali unakuwa huamini kama kweli ndio kakubali au anaegesha tu maana kuna wengine unajipendekeza sana ndio anakuja kukuelewa baadae!
Ila basi tuhurumiane kwa tunayotendeana!
 
Siyo wanaume tu. Hana wanawake wa namna hiyo wapo. Hapa suala linakuja kama we ndo umeguswa ni KE basi utalaumu ME. Na kama ni ME utalaumu KE. Suala linabaki ni nani kamfanyia timing mwenzake.
 
Naingia kwenye mafunzo ili niwe muigizaji pia nadhani nitakua muigizaji mzuri zaidi
Safi sana mkuu na kwa kweli ufanikiwe huenda ukaiokoa tasnia yetu ya Bongo movies...

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Si ndo upuuzi wenu huo unakubali kulalwa na mwanaume humpendi eti namuona huruma..unadhan mwanaume hamjui mwanamke asiyependa ...unamshangaa mwanaume bdl ya kujishangaa ww unaelala na mwanaume kisa unamuona huruma...umeniuzi kweli yaan...mm nikiwa na mwanamke hanipendi najua kbs na mm nachofanya nagonga hlf nakuonyesha kwamba ht mimi sikupendi wala nini
 
Huu uzi umekuja kwa wakati sahihi kwangu! Sasa ...........!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…