Wanaume Badilikeni

Ndo maana watu wazima
wanazidi kupendwa,maana mapenzi
ni sanaa.Na sanaa ni mazoezi
watu wamekariri kusugua tuuuu!!
Kwani mapenzi ni kuosha masufuria?

Pamoja na baadhi ya wadada kupenda
pesa,lakini wakati mwingine
watu wazima hii sanaa wameifanya
siku nyingi hivyo wana mazoezi
ya kutosha,na vijana tubadilike
ili tusiendelee kupokonywa
na kusingizia kipato.Ni hayo TU
 
 
Tufanye aje bibie mbona haujatoa ushauri kama sio kuwasugua saana tuwafanyaje?

maana kwa hii miluzi mtatupoteza sasa
Yani we acha tu kila siku linaibuka jipya sasa
 
Asilimia kubwa ya wanaume hawajui mapenzi, ni vurugu mechi tu na kuchoshana, wanajua kusugua sana ndio mahaba yenyewe . Badilikeni wake zenu nao,wafurahie tendo.

Pambana na hali yako
 
Asilimia kubwa ya wanaume hawajui mapenzi, ni vurugu mechi tu na kuchoshana, wanajua kusugua sana ndio mahaba yenyewe . Badilikeni wake zenu nao,wafurahie tendo.
Avatar + ID
 
Utakuwa umekeketwa wewe.... Dish huna unataka kuona al jazeera!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…