Wanaume Badilikeni

mm bora nishushe mzigo wangu, huku ninatoa mguno wa hatari kama simba vile
 
Asilimia kubwa ya wanaume hawajui mapenzi, ni vurugu mechi tu na kuchoshana, wanajua kusugua sana ndio mahaba yenyewe . Badilikeni wake zenu nao,wafurahie tendo.
Umeshafanya research kwa wanaume wangapi mpaka useme wengi hawajui mapenzi?
 
Wenye hela na wasio na hela.


Wenye vibamia na wasio na vibamia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mapenzi utunduu kibamiaa hicho hichooo unaweza onekana lulu. Badilikeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…