Wanaume ambao huwa mnaenda Fungate ( Honeymoon ) tafadhali msirudie tena hili Kosa kwani mnakera sana!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,553
108,888
Mtu anaenda ' Honeymoon ' Siku tano au saba halafu anafanya nae tendo la Ndoa kwa Siku moja tu kati ya hizo na zilizobaki anakuwa anapiga nae tu ' stori ' huku akimuonea aibu. Leo nawaambieni mnaooa kwamba maana halisi ya ' Fungate ' ni Kufanya Mapenzi na huyo Mkeo kila Saa, Dakika, Sekunde na Siku na hakuna kumuonea huruma.

Mnashindwa ' Kuwashughulikia ' vizuri Wake zenu mnapokuwa ' Fungate ' halafu mkija Kukaa nasi 'Vijiweni ' mnajifanya mnajisifu na kudai kuwa mnawapenda Wake zenu na hamtaki ' Kuwachosha ' mapema. Mnadhani walioanzisha ' Honeymoon ' walikuwa Mapopoma / Wapumbavu kama mlivyo?

Ukiwa ' honeymoon ' hakuna kumuonea huruma Mkeo bali mpelekee ' moto ' ili ajue kuwa ile ' Mahari ' uliyomtolea uliihangaikia ili uje ' uikanyage ' vizuri ' Mbunye ' yake na kama akiona ' anateseka ' basi mwambie kuwa bado hajachelewa na akurudishie Hela yako ya Mahari.

Kazi Kazi tu hakuna Kuremba mbele ya Mbunye mkiwa ' Fungate '.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom