Hakuna mwanaume anayekataa kuhudumia ila mazingira yakuhudumia ndio yanayoweka maswal mengi na kero zisizo na ukomo had inakuwa kero...sasa wewe umekutana na mwanaume leo leo afu unapiga kizinga tena cha vocha...unafikir nani atakuona una thamani
mmmmmmh,huyu naee.....kwani sis SACCOS,wew huwez honga??after ol mnatufyonza madini yetu,mnatusumbua kutukubal,on bed negative alafu unataka hela ya nn kwani ni for sale...si bora niwafuate wanajiuza kabisa ebu achen mfumo jike bn
Unamtongoza demu leo ikifika kesho mapema asubuh anakupigia simu anaumwa malaria hivyo anataka hela akatibiwe, keshokutwa atakuambia mtumie hela elfu 30 akasuke hapo nimeacha mizinga ya vocha ambayo anakuomba kila baada ya lisaa 1, ukimgegeda siku moja tu baada ya wiki atakwambia ana mimba hivyo anataka pesa akatoe kumbe mimba hana
Mizinga mingine inakera hata kama hela ipo unaamua kuchelewesha makusudi. Eti kamtu kanesema kapo saluni kanaomba elfu 50 bebi. Blalifuu acha simu au power bank tutakomboaga.. ulijuaje kama ninayo? kama sio kupigana matukio tu huko