Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 541
Mi nashangaa sana viumbe nyie hasa wa siku hizi sio wote lakini, mwanamke akiomba pesa kosa la jinai utamwita majina yote mabaya kua yupo kwako after money na kibuti juu utampa.
Mwanaume akiomba pesa kwa mwanamke hakuna shida tena mnasifia sana nimepata wife material, inamaana mwanamke ndio anatakiwa kuhudumia mwanaume? Kweli kizazi cha mapinduzi.
Kama ni kusaidiana basi na nyie mkiombwa kuweni wapole na hudumieni kuna thread hapa kuna mwanaume mwenzenu kasema akiwa na shida anaomba hela na anapewa wakati yeye hajawahi kutoa hata siku moja.
Mkamsifia sana kua amepata mke kuna wengine hapa walianzisha uzi siku ya kwanza tu mwanamke kamuomba hela. mkajumuisha na wanawake wote mkaponda sana, ila mwanaume akiomba papuch first day ni sawa.
Acheni ubinafsi