Wanaume acheni kumkosoa Mungu

Tulia hivyo hivyo kama ulivyo na shape asilia utapendwa tu.
 
Mwanamke mrefu, mwembamba na ni flat screen(Hana wowoo) hapo huwa nachanganyikiwa sana. Hata km akiwa mfupi lkn asiwe na wowo na pia ni mwembamba . Hapo aisee
 
Sasa kama huna hata kimoja hapo ww utakuwa sio mwanamke
 
My dear kuna kitu hujakijua hapa kuhusu wanaume, Mwanaume ameumbwa ni mtu wa kutamani, hata ufanye nini atatamani tu mtu mwingine. usiharibu uumbaji wa Mungu kisa kumridhisha Mwanaume sana sana hao wenye chura sijui nini they just use them and akitaka mwenye miguu ya nini sijui ataacha huyo chura anaenda kwenye miguu yenye Matende, ukitaka kuhakikisha hili wanaume wengi wameoa wanawake wa kawaida kabisa hizo vyura wanakula tu huko barabarani then home kawaida all Women achene kuharibu uumbaji wa mungu ni Dhambi
 
Asante dada
 
Kiukweli m cjawahi vutiwa na mwanamke!!! Nmekuwa nikitaman kulala nao tu baada ya hapoo!!! Shughul imeixhaa!!!!

Mkuu jitahidi kuandika vizuri maana uandishi wa facebook hapa JF hauna nafasi.
 
Bila shaka unazungumzia kama hili hapa
 
Si kila wanalotaka unafanya, haya sasa kaweke na macho ya blue. Kukosa msimamo nako ni ulemavu.
 
Kosa ni la wanawake wenyewe na si la wanaume. Be yourself na mtu atakupenda jinsi ulivyo. Shangaa sasa unaweka wowowo la mchina lkn mwenzako kutwa na michepuko flat screen. Nashukuru sijawahi sumbuka na mwili wangu.
 
Kuna mmoja alipinga kuwa wanawake sio Dhaifu....nadhani atapata udhibitisho mwingine any way kwanini myumbishwe na wanaume kwa nini na nyinyi mna walaumu wanaume badala ya kujilaumu nyie wenyewe kwa kudharau uumbaji wa Mungu....Tunawaomba 2018 Mpumzike na mridhike na jinsi mlivyo ....kila mtu ana Mapenzi yake kuna mmoja unene,mwingine weupe BAKI NJIA KUU (jinsi ulivyo) MICHEPUKO SIO DILI(kujibadilisha mara hiv mara vile)
 
Mimi mpaka leo napenda english figure over bantu figure ila hiyo english figure iwe na chura

Aaagh...Lakini kweli aisee !!! Tuache kukosoa kwasababu hata tukiambiwa tuumbe wadoli sisi hatuwezi.

Tuheshimu uumbaji wa Mungu.
Kwa kawaida english figure hazina chura, labda iwe ya kichina
 
Wanawake hayo mambo yote mnajitakiaga wenyewe...

Sijui full moon a.ss, mara big b.oobs, mara flat tummy, mara curves, mara tight yssup, mara bleaching your skin... Hii yote ni kuiga na kuangaika kwa wale ambae hawajikubali...


Cc: mahondaw
 
Haha haa haaaa haaaa.
Nacheka kwa dharaaauu.
Unampigia mbuzi gitaa bibie, hayo hayakunza leo wala jana.
Na bado tutaendelea kuendeshana hivi hvi mpk dunia ifike kikomo
 
[emoji23] [emoji1] tunataka papuchi ya orange mwaka 2019.
 
hao ni wavulana sio wanaume
Tena wavulana wa huko kwenye mwendo kasi huku kwetu hakuna hayo mambo tukioga maji ya visima hatuna haja ya kupaka madudu yoyote na wanaume wanatuona ma Queens
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…