leprincess
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 282
- 456
Kwan n lazma mvutie wanaume!!! HV hamiwez kuixh bila kuvutia wanaume????Pole sana mwaya kwa kuwa umejiamulia kuwa mmoja ya wanaotaka kuzuzuliwa na hao wanaume wasiojua kusimamia kimoja wanachokitaka yaani kila wanachoona wanatamani.
Nikwambie tu, misimamo inatakiwa tuwe nao sisi wanawake kama wanataka wenye macho ya paka waache wawatafute na sio kutuchanganya.
Tujiamini tu kwamba kila mwanamke kuna ambacho anacho cha kipekee kinachoweza mvutia mwanaume kama huna kalio basi sura itakuwepo. Huna mguu basi shepu itakuwepo. Hivyo yaani.
Tuanze na wewe, huwa unapenda mwanamke anaekuvutia au asiekuvutiaKwan n lazma mvutie wanaume!!! HV hamiwez kuixh bila kuvutia wanaume????
Nice babyPole sana mwaya kwa kuwa umejiamulia kuwa mmoja ya wanaotaka kuzuzuliwa na hao wanaume wasiojua kusimamia kimoja wanachokitaka yaani kila wanachoona wanatamani.
Nikwambie tu, misimamo inatakiwa tuwe nao sisi wanawake kama wanataka wenye macho ya paka waache wawatafute na sio kutuchanganya.
Tujiamini tu kwamba kila mwanamke kuna ambacho anacho cha kipekee kinachoweza mvutia mwanaume kama huna kalio basi sura itakuwepo. Huna mguu basi shepu itakuwepo. Hivyo yaani.
Akikujibu nitag my dear.Tuanze na wewe, huwa unapenda mwanamke anaekuvutia au asiekuvutia
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nice baby
Kiukweli m cjawahi vutiwa na mwanamke!!! Nmekuwa nikitaman kulala nao tu baada ya hapoo!!! Shughul imeixhaa!!!!Tuanze na wewe, huwa unapenda mwanamke anaekuvutia au asiekuvutia
Hao hao unaowatamani wanakuwa wanavutia au hawavutii?Kiukweli m cjawahi vutiwa na mwanamke!!! Nmekuwa nikitaman kulala nao tu baada ya hapoo!!! Shughul imeixhaa!!!!
Hukosa yoteMtaka yote kwa pupa