Wanaumbe ni mchicha bangi!

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,858
Wanaume ni watu wa ajabu sana,
Wanaume utawakuta wanawananga wanawake na wakati fulani wanawapa majina ya ajabu kisa tu wamekubaliwa mombi yao kwa haraka, majina kama 'maharage ya mbeya, maji mara moja' na mengine mengi yafananayo na hayo

Majina haya yamekaa kidharirishaji kabisa lakini, utakuta wanaume ndo wanayotumia kuaddress jinsi namba mbili, tena kwa majigambo as if wao wako sala.a katika hilo.

Lakini ujue mianaume ndo hovyo kabisa, mdada akimsalimia akasindikiza salamu yake kwa tabasamu, Anawaza ngono tu (kutongoza), mtu wa jinsi namba mbili akikosea namba, mwanaume anawaza ngono tu (kutongoza)

Ukiuliza wanaume waliotongozwa au kuwekewa mitego ya ushawishi na wanawake na wakaruka viunzi , kwenye 10 unaweza usipate hata mmoja.

Sasa kati ya wanaume na wanawake ni yupi anaefaa kuitwa maharage ya mbeya?

Mie nadhani wanaume ni mchicha bangi, dk tano tu hata maji hayajakauka, unaliwa
 
Mwanaume kugegeda sana ni sifa ila mwanamke kugegedwa sana ni uhovyo.

Hii ni kwa mjibu wa tamaduni zetu.
 
Bangi mbona nzur tu ukipuliza kidogo tu heka1 ya shamba inaenda kuisha we huon hlo
 
Mfano halisi ni mimi hapa, baada ya kuona tangazo lako na ID yako tayari nimeshaanza kuwashwawashwa nikukaribishe PM tufahamiane zaidi !!!! Njoo mdogo wangu nikupe "Omutembe" roho inataka.
 
Yesuuu!
Kumbe unagegedaga hadi wadogo zako?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…