wanatech heb nijuzeni kuhusu kupatana.com

wanatech heb nijuzeni kuhusu kupatana.com

makakara

Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
30
Reaction score
2
Naamini kila mtu hum ndani anaifahamu kupatana.com
1.swali lang ni hivi mmiliki wa hii site anafaidikaje? 2.je anategemea google adsense pekee yake,
3.na vip kuhusu app yake developer ni wa hapa bongo au ni osclass cos nimeicheki hii site inarun osclass cms na vp google ads inalipa kweli?
 
Back
Top Bottom