Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Ukiachwa achika bwana move on kashawakataa mnamfuata fuata wa nini?Hii ndiyo maana halisi ya UTOPOLO.
Mbona povu babu?Wewe zwazwa lete mada iliyoandikwa na hawa uliyowataja.Ndio maana unaleta mada na kujijibu mwenyewe. KIMOJA cha Silver Strikers bado kipo mgongoni.Tafuta suluhisho la matatizo yenu Utopolo usiruke ruke kama bisi kwenye microwave.
Wewe msenge lete hiyo post nikilalamika huyo mla pension ameondoka!Ukileta ushahidi huo naondoka JF.Wacha kuzulia wanaume katafute bwana kama unawashwa.Mbona povu babu?
Hebu onyesha nilijijibu mwenyewe wapi?
Wewe majuzi tu ulikuwa unalalamika shabalala kuondoka sasa unakana nini?.
Ukiachwa achika bwana
Kwanza umetoka nje ya mada wewe kichwa mbonyeo
Ngoja niitafute ila utakuwa umefuta tu kolo weweWewe msenge lete hiyo post nikilalamika huyo mla pension ameondoka!
Mavuzi ya mama yako.Wacha kushobokea uzushi.Ngoja niitafute ila utakuwa umefuta tu kolo wewe
Kweli aliyewaita Utopolo hakukosea yaani mnategemea babu ajipate?Wapo wengi sana kama niliowataja hapo
Kuna huyu mwanasimba Tui
Shabalala kiwango chake kitakua tu muda bado
Captain la hovyo.I salute you kinsmen
Kiukweli kuna jambo linatatiza sana sana!
Kuna team ipo hapo kariakoo na jengo Lao la msimbazi la mchongo huwa ina matatizo makubwa sana
Wao hawakubaligi kuwa wameachwa hata siku moja!
Kwa wanasimba vichwa mbonyeo kama Tui TAI DUME Lupweko Scars hawa jamaa wanataka mchezaji akae kwao mpaka anakufa!
Hawajui kama mchezaji ana familia na maisha mengine pia wao wanadhani wachezaji ni team za baba zao hizo
Simba hamtaki kumove on kwanini? Shabalala ameshawaacha kwa mabingwa yanga na huku bado mnamuombea dua mbaya eti aozee benchi!
No haiwezekani atacheza na mbona anapokelezana na boka? Au mlizoea kama kule kwenu anacheza mechi zote mpaka za mabonanza??
Huku yanga mambo yanaenda kitaalamu tu mchezaji huwezi kucheza mechi zote mashindano yote!
Na bado ukionyesha uwezo utacheza tu, sasa nyie shabalala alikuwa hata kama kachoka mnamforce acheze hivyo hivyo..
Kawakimbia sababu aliona muda unasonga na haieleweki team ipo ipo tu kama kilabu cha wanywa gongo na wanzuki sasa kwanini asiende kwa team yenye mipango kabambe na maisha mazuri?
Pesa za usajili za msimu uliopita alipoongeza mkataba hamkumlipa halafu bado mkataka aongez emkataba? Yaani mlitaka kusongesha?
Nyie bwana move on alishawaacha hakuna haja ya kumfuata fuata
Hata kama alikuwa anawapelekea moto vizuri just be a good woman and find other man..
Its Pancho
Hayo ndio maneno ya mfamaji? Msimu uliopita na sasa ana tofauti gani? Si ndio yule yule tu?Yanga ni sehemu ya wachezaji wa Simba kila pension,nani anawaza kuhusu Shabalala hata Yanga anakaa benchi. Kuwa serious usianzishe mada za kipuuzi umiza akili kidogo
Mara hii amekuwa babu? Msimu uliopita hapo msimbazi alikuwa kijana ila sasa ni babu?Kweli aliyewaita Utopolo hakukosea yaani mnategemea babu ajipate?
Simba wamemtumia miaka yote huko kaja Utopolo kumalizia maisha yake ya soka
Hizi ndio chuki sasaHii mada inakujaje Leo? Simba akimuuzia mchezaji yanga ujue yupo kwenye retiring age ya kula pension. The likes of chama alianza kutakwa na yanga misimu Kitano nyuma lkn simba haikumwachia lakini alopochoka kama shaba na mkude ndio wamekuja kula pension huko.
By the way staki kuamini huko utoponi mnajua wamalawi wamewafunga coz simba inamloga zimbwe!!!? Wenye akili hawaongezeki huko sana sana watapungua tuu.
Heshima gani?Alianza Mwenyewe Acha Wamkande, Umekaa kwenye timu kwa miaka 10+ na na mafanikio ya maisha yako % kubwa umeyapatia hapo baada ya kuondoka mashabiki wakataka kuendelea kukupa heshima unawakataa na kejeri ya kuadhiaki
Acha aanyooshwe Mpumbavu huyo