Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 430
- 931
Tushamaliza kitambo ndomana unaona wanayanga hatulalamiki ila sasa wanaotulalamikia ni simba. Mambo ya ajabu kweli kwelikafanyeni usajili mambo ya simba tuachieni wenyewe
Hamlalamiki au jikoni hakueleweki? Mpaka injinia anatafuna tafuna vimaneno mjiandae sasa gon be a bumpy rideTushamaliza kitambo ndomana unaona wanayanga hatulalamiki ila sasa wanaotulalamikia ni simba. Mambo ya ajabu kweli kweli
Nimejibu hapo kwamba kama ulisikia interview ya mara ya mwisho wasafai fm walisema mwaka huu kitengo cha habari vs masoko wanataka watumie mwanya wa kutangaza wachezaji ili kuuza jezi na walisema wanataka wafanya kama ulaya wanavyofanya. Nikupe mfano. Lets saya mayele kasinya lakini zikatolewa jezi zake special zenye namba yake na ikapigwa mnada unafikri watu hawatanunua? Io strategy inaweza kufanikisha kulipa mshahara wa miezi kadhaa ya mayele na itakua deni kwake . Akili Akili Akili ndg yangu. Simba nayo inakuja huko huko. Nyie mnajenga timu sisi tunaboresha timuHamlalamiki au jikoni hakueleweki? Mpaka injinia anatafuna tafuna vimaneno mjiandae sasa gon be a bumpy ride
Mkuu, ngoja utaniambia tuKuna popoma linakaza mishipa kila nyuzi lin halijui kitu, na wakati huh ndo furaha yao itaisha mda simrefu watawalaumu viongoz hawakusajili vzr, kwani vinamuuda.
Ewenh haya ndo mambo ya kusema unasajili mawinga kibao wa nn. Ttzo la simba karibu misimh miwili ni kiungo hasa. Hapo ndo wangejaza watu lakini pia na mbadala wa chama ambaye labda ana kitu cha ziada mfano mbio ukilinganisha na chama ila sasa wanaosajiliwa mmh labda ndo falsafa ya Robertinho. Pia ngoja tuone Ngoma atakachoinyesha usishangae mzamiru bado akawa anamtia benchMPIRA wetu una madudu mengi mno.
Tukiandika hapa HATUWEZI kumaliza.
1. Simba Ina TATIZO KUBWA sana kwenye No 6.
Hadi saizi nafasi zimejaa hakuna waliemsajili UJINGA mtupu
Hadi sasa Wamesajili JUMLA ya mawinga 11.
2. Eneo la beki wa kati
MSIMU uliopita lilikuwa na Inonga, onyango, Ottara Nyoni na KENEDY JUMA.
Eo hii wamebakiwa na wachezaji watatu tu3 Mabeki, hata wakijigawa mazoezini hawatoshi.
UONGOZI WA SIMBA AMKENI ACHENI UPUMBAVU.
Huko mnakoenda nyie sisi tulishatoka kitamboNimejibu hapo kwamba kama ulisikia interview ya mara ya mwisho wasafai fm walisema mwaka huu kitengo cha habari vs masoko wanataka watumie mwanya wa kutangaza wachezaji ili kuuza jezi na walisema wanataka wafanya kama ulaya wanavyofanya. Nikupe mfano. Lets saya mayele kasinya lakini zikatolewa jezi zake special zenye namba yake na ikapigwa mnada unafikri watu hawatanunua? Io strategy inaweza kufanikisha kulipa mshahara wa miezi kadhaa ya mayele na itakua deni kwake . Akili Akili Akili ndg yangu. Simba nayo inakuja huko huko. Nyie mnajenga timu sisi tunaboresha timu
Heeee jaman aiya nimabie mlitokaje kitamboHuko mnakoenda nyie sisi tulishatoka kitambo
Usajili wa Yanga hautakaa uujue...kafanyeni usajili mambo ya simba tuachieni wenyewe
Mbona usajili wa gigy money ulijulikana mapema tuUsajili wa Yanga hautakaa uujue...
Nendeni mkakate mauno kwa makobazi huko kama kawaida yenu mkirudi huku viuno vimelegea mnaharisha tu.