Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 871
Mwafrika umedata.
Hivi kwa nini tuna wa idolize sana wanasias?
And then we wonder why everybody wants to be an MP.
Bluray,
Najaribu kusafisha ubongo wangu (sio akili, narudia tena, sio akili kama aliyopimwa Kikwete) kabla ya mwaka mpya wa kirumi haujaanza.
Mwafrika umedata square,
Uliposema "Kirumi" umenigusa, hata mie nilikuwa natafakari, hivi huu mwaka mpya sio wetu, sie tunajua mwaka mpya wetu unaanza lini? Au hata tunao?
Halafu mbona sijasikia list ya wasanifu majengo ya mwaka 2009, au madaktari etc.
Kwetu kama si wacheza mpira basi ni wanamuziki na wanasiasa, wasanii watupu.
Hamna mtu mwenye profession isiyo sanaa tunayeweza kumuenzi!
Hizi theads zina mi idea kibao ambayo kama watu wenye kujua kuchota hapa watachota sana.
Mwafrika,
Kweli umedata, unahitaji ukapimwe mirembe. Mtu mwenye akili hawezi kutumia siku nzima kufukuzana na threads ili eti kumchafua mwakalinga.
Inaelekea kiboko ulichotandikwa jana kimekukolea vizuri sana. Hii ndio JF, wakati unajifanya mjuaji zaidi kuna watu wengi tu wanajua zaidi.
Kama mtu kusoma poland ni shida, wewe msomi wa Marekani umelifanyia nini taifa?
Kaka mwafrika ushauri wa bure pumzisha akili yako na itumie kwa yanayojenga na sio kubomoa.
Una haki ya kuniita mimi jina lolote ulitakalo, heri ya mwaka mpya na mwenyezi akuzidishie busara na kukupungizia ujinga.
Jogoo huwika kukipambazuka, kama kuna jogoo kawika wakati bado kuna giza totoro, kuna tatizo hapo.
Samwel/Magoli/Mkulima/Mkama/Bambumbile/msauzi/lugombo/Mtanzania/Mwakalinga + Sikonge/Muheza