Wanasiasa ni vimelea wa uchumi (politicians are economic parasites)

Kessy Wa Kilimanjaro

JF-Expert Member
Jan 23, 2016
327
208
Wealth distribution ni uongo mwingine ambao wanasiasa wameanzisha ili kuhalalisha unyang'anyaji wa mafanikio ya wengine kupitia kodi.

Wealth Distribution inacho fanya ni kuondoa motisha ya watu kufanya kazi na kuongeza uroo wa nguvu za kiserikali. Tatizo Tanzania kila mtu anataka kuwa mbunge au kiongozi lakini ikija kwenye kuwa mjasiriamali, mwekezaji au mbunifu hawapo.

Kwasababu serikali na mfumo wa nchi imeifanya vigumu kuwa mfanya biashara na imeifanya siasa na kukusanya kodi ovyo ovyo, kama biashara. Watu waroho kila siku watataka mali za watu wachapakazi na siasa imewapa njia watu wavivu na waroho uwezo wakuchukua mali ambazo hawajazifanyia kazi. Kinacho waruhusu wanasiasa kufanya haya mambo ni fikra ya wananchi ambayo inasema inahitaji serikali kujihusisha na uhuru wa watu na wa uchumi.

Serikali inacho paswa kufanya ni kuondoa sheria zinazozuia mashindano kwenye ujenzi wa sekta za umeme, miundombinu, elimu, afya, na viwanda na pia inahitaji kuruhusu na kulinda umiliki wa mali kwa wananchi na wawekezaji wa ndani na wa nje ya nchi.

Pia serikali inahitaji kuondoa wizara zote na kuwa na wizara mbili tu. Wizara ya biashara na wizara ya ulinzi.
 
Back
Top Bottom