nilitegemea spika waziri husika au washirika wake wa ukawa anagalau wamjulie hali, nilitegemea paroko wake angalau amjulie hali, ukiona alivyokuwa anaongea siku alivyotembelewa na mzee wetu lowasa utapata simanzi, yaani anatamani hata Mungu amchukue sasa hivi.unataka mwana siasa gani mwingine aende?
Lakini huwezi jua pengine wameenda lakini hawakutaka kujionyesha kwa Publicnilitegemea spika waziri husika au washirika wake wa ukawa anagalau wamjulie hali, nilitegemea paroko wake angalau amjulie hali, ukiona alivyokuwa anaongea siku alivyotembelewa na mzee wetu lowasa utapata simanzi, yaani anatamani hata Mungu amchukue sasa hivi.
alifanyiwa upasuaji nchini India mkuuKwan Mh. Mbatia anaumwa nini wakuu, maana ni kitambo sijamsikia huyu Gwiji wa siasa za upinzani
Hana maslahiMheshimiwa Mbatia hali yake si nzuri yuko anasumbuliwa na maradhi lakini nimemwona Lowasa na Maalim tu ndio walioenda kumjulia hali, nilimwona Mh.Mbatia akiongea kwa machungu sana akitamani hata roho yake ichukuliwe, kwa kweli nilipatwa simanzi na nikaona anahitaji kufarijiwa na kuombewa, cha kushangaza washirika wake akina kafulila wamemkimbia na hakuna vingozi wa dini wanaokwenda kumjulia hali na kumwombea.
Hii imenifanya nicheke kwa sauti kubwa aiseeeeeeUmeniacha hoi sehemu ya kwamba ulimuona akitaman hata roho yake ichukuliwe ,duuh mungu amponye arud katika hali yake
kumwonea huruma mhitaji ndio ulemavu?Mleta Thread ule ulemavu wa akili bado hujapona nadhani bado mapoda yanakutesa sana.
hayajakufika ndio maana umecheka kwa sautiHii imenifanya nicheke kwa sauti kubwa aiseeeeee
Daaah, upasuaji wa nini mkuu, af huku kwnyw siasa kuna nini, mbna politicians mashuhuri wengi huumwa magonjwa ya ajab ajab??alifanyiwa upasuaji nchini India mkuu