Wanasiasa mjiheshimu sana

tatizo umeongea ukweli mnoo... so wanasiasa hawatokusikiliza unfortunately!

pole sana ndugu yangu.....
 
Haijarishi nadhani wewe umenielewa inatosha...! Wanajiita wanasiasa kwakuwa wewe upo kuwaita waheshimiwa kampeini naianza hivyo dawa ni kugoma kupiga kura naanza kampeni hivyo.
tatizo umeongea ukweli mnoo... so wanasiasa hawatokusikiliza unfortunately!

pole sana ndugu yangu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hili la kuungana upinzani walifanye immediately jaman mbona km kimya tu..au ndo ukawa
 
Ila hili la kuungana upinzani walifanye immediately jaman mbona km kimya tu..au ndo ukawa
Hawawezi hawa wapuuzi sana...! Mimi CCM ila nakerwa na upinzani dhaifu na ccm yenyewe mawazo ya kizamani sasa hivi nitakuwa katikati kupinga ujinga wa ccm na upuuzi wa wapinzani maana wamegomea mgombea binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapinzani wajifunze hasa Mbowe na Lipumba.

Mbowe ni tatizo kubwa ndani ya Chadema.
Lipumba ni tatizo kubwa ndani ya CUF.

Watanzania wanataka mabadiliko.
Watu wanapohama vyama au kuachia madaraka wanaleta jambo jipya kwenye chama.

Mpaka sasa mwaka wa Uchaguzi ndani ya CHADEMA na serikali za mitaa lakini hakuna mchuano wa kumtafuta mwenyekiti. Hata Tetesi tu na kila anayejaribu kujipanga Mbowe anamshughulikia kwa nguvu zote bila kujua kuwa anaua Demokrasia ndani ya chama.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Lowasa ametufanya sisi wajinga sana, lkn sio kosa lake kuna agenda nzito nyuma ya kapeti ndo mana mzee wa watu kaamua kujisalimisha CCM.
 
Kiufupi hatuna upinzani wa kukidhi kiu yetu ya mabadiriko, na hatuna chama tawala cha kutuongoza zaidi naona kinatutawala..!

CCM ilimanisha Chama Cha Mapinduzi ikimanisha mabadiriko/mageuzi ila for more than 50yrs no serious change done by the so called CCM, hasa baada ya Nyerere kuna majambazi wa siasa/wakoloni weusi wanatutawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akwende huko, alidhania mapinduzi ni lelemama..? Si Lowasssa na wengine wote ni ushenzi na ujinga..! Poor Africans poor Tanzanians...! Tusiamka watatukojolea kichwani.
Huyu Lowasa ametufanya sisi wajinga sana, lkn sio kosa lake kuna agenda nzito nyuma ya kapeti ndo mana mzee wa watu kaamua kujisalimisha CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapokesea ni kuamini wanasiasa wanaweza kutetea na kulinda haki zetu..!

Ninavyojua umma tuna nguvu zaidi ya wanasiasa, ebu tujenge wanasiasa wenye mwelekeo kwanza tuwapuuze na kuwanyima ushirikiano kuanzia WAPINZANI, CCM na serikali yao inatokana nao.

Nia aibu kuendeshwa na watu wachache wasio na akili pia..!

POLITICIANS STOP FOOLING US.
Kabisa, ila kuwatambua ndio ngumu. Kiufupi tuchague mtu mwenye maslahi na taifa na sio binafsi au mfia chama hata kama kinavunja misingi ya utu, demokrasia na umoja wetu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…