Wanasiasa, kwanini lakini?

Wanasiasa, kwanini lakini?

KABILIZI

Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
29
Reaction score
3
Utakuta wanasiasa pamoja na wafanyakazi waliopo serikalini ni watu wakwanza kusema eti vijana wajiajili .hivi mbona wao walipotoka vyuoni hawakuambiwa hivyo jamani.
Hivi bila capital utajiajili ndugu zangu.
kama kuna mwana jf anajua sababu za wao kusema hivyo naomba anitupie hapa
 
Back
Top Bottom