wanajf kuna kitu sielewi hivi inachukua mda gan mfanyakazi wa mkataba ambae ni kama kibarua kuja kuwa mwajiri wa kudumu; na hiki kitu kipo sana kwenye makampuni,utakuta mtu amefanya kazi zaidi ya mwaka lakini ikitokea misunderstanding ndogo tu boss anamwambia kibarua 'nitakuteminate' watu wamekua wakitishiwa hivyo na kukosa amani wakati mwingine ni mtoto mdogo tu lakin anawatishia watu na familia zao hicho kitu personally nimekishuhudia "naombeni ufafanuzi ili watu wajue nini wanapaswa kufanya