Wanasheria mnahitajika hapa

Polisi tu haruhusiwi kuingia ndani kwa mtu bila kuwa na search warrant ,sasa kitendo cha huyo mwenye nyumba kuingia ndani kwa mpangaji wake bila idhini ni kosa kisheria. Mshauri jamaa akafungue kesi ili alipwe mali zake zilizoharibiwa, deni analodaiwa ni dogo zaidi kuliko mali alizoharibiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushauri ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKOME

WAKATI.WACHAGA WANANUNUA 20*30 KMR.MKAONA WAJINGA EEH..MNASHINDA BAR.BADALA YA KUJENGA KAZI MNAYOOO..STAREHEYADENI KULIPA.MWANASHERIA ANAJUA

AMEKOSA LAKI YAMWENYENYUMBA MWANASHERIA ATAMLIPA NA MAWE...???ACHUKUE.NKE.WARUDI.KIJIIJIM KUJIPANGA
Hatubishani hapa ndugu,
Ushauri wako ni muhimu hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…