billionaire17
Member
- Mar 31, 2017
- 31
- 43
Kwa kifupi ni kwamba. Amuone wakili aliyekaribu. Kumshauri mtu lazima kuna vitu uvipate kutoka kwake, huku mtandaoni mtu anatoa story kuna vitu vinakosekana, lakini akiwa na wakili ni rahisi kupata majibu sahihi kutoka kwa mteja na ndipo atoe ushauri sahihi. Otherwise kumsikiliza mteja nusu story unaweza ukam mislead mteja na ni kinyume na ethics za mawakiliHili liko wazi, ila ata elimu ya awali tu au kutoa ata maelekezo ya namna atakapo pata msaada huo, na uenda akawa ata ndo mteja wako huyu.
Muda unaweza kua tatizo pia, ila mbona kila saa tunawaona kule MMU, Siasa na kwengineko au whatsap kule mko masaa 24 online tu tena kwa mambo ya kijinga jinga tu.
Wewe acha upngo wako kujifanya uko bise for nothing , Kama JAMIIFORUM walijua zipo ofisi za wanasheria SASA HILI JUKWAA walianzisha kwa misingi IPI? Ikiwa kila anayetaka ufafanuzi wa kisheria Wewe unataka asiweke hapa badala Yake akufuate ofisini kwako,! Je ikiwa kila MTU hatoweka matatizo Yake ya kisheria kwenye hili JUKWAA, Sasa hili JUKWAA litakuwa ni kwa ajili ya kujadili nini? Halafu hoja uliyoitoa ya kusema et huwezi kumshauri MTU hapa et kwa kuwa mteja kuna facts anakuwa amezificha ni hoja ya kijuha kabisa!!! Mshauri MTU kulingana na Maelezo Yake aliyokupa na si vinginevyo.Na Wewe uwakili wako nautilia mashaka kuhusu competent yako ikoje, Kwa hoja Laini kama hizi ni wazi siku zote utashindwa kesiMawakili tupo busy sana na kazi za wateja, kama anataka ushauri aende ofisi yeyote ya mawakili atasaidiwa, huku mitandaoni huwezi kutoa ushauri maana kuna facts anakua amezificha hivyo ni ngumu kumshauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama mtu hana ela ya kuja ofisin inakuaje??Sitoi ushauri na sitatoa ushauri kirahisi rahisi, nifuate p. M toa number uje ofisini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza na Sisi chuon tulisoma bure?? C tulijipiga piga hy hvyo,, so client inabd atafutee huduna ya kisheria iliko lakn co mawakili au legal officers wamfuate client,, umenielewa hapo,
Ndio maana amekufwata kwenye jukwaa la sheria a.k.a jukwaa lenu!!Kwanza na Sisi chuon tulisoma bure?? C tulijipiga piga hy hvyo,, so client inabd atafutee huduna ya kisheria iliko lakn co mawakili au legal officers wamfuate client,, umenielewa hapo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaa msomi ndo maan tukasema badala ya kuandika humu maelezo kwa issue yake atafutee msaada wa wakili aliyepo kalibu yake,, aeleze mambo mengine ambayo humu hajayaelezea ili asaidiwe vzurii msomi,,,Ndio maana amekufwata kwenye jukwaa la sheria a.k.a jukwaa lenu!!
Sawa hujasoma bure lakin unapomsaidia leo hata asipolipa ela kesho atarecommend watu waje kwako na hao watu watakulipa!! nadhan chuon mlisoma basics za biashara, ushauri unaotoa hapa ni kama njia ya kujitangaza na kupanua netwek mkuu!!!
Sio kweli.Mawakili tupo busy sana na kazi za wateja, kama anataka ushauri aende ofisi yeyote ya mawakili atasaidiwa, huku mitandaoni huwezi kutoa ushauri maana kuna facts anakua amezificha hivyo ni ngumu kumshauri.
Sent using Jamii Forums mobile app