Wanarombo popote mlipo, iokoeni Rombo na pombe hizi

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
Hii ni hatari
Hizi local pombe zenye majina ya
Kipakapaka
Simba
Kichuichui nk
Zinamaliza nguvu kazi huku..miaka 30 ijayo tusipodhibiti hali hii hatutakuwa na Rombo yenye watoto kutoka kenya

Tumuunge mkono mkuu wa Wilaya ya Rombo
Na serikali hasa kwakupiga vita pia viroba
Lakini kwa huku Rombo hizo pombe local ni hatari sana pamoja na gongo...

POPOTE pale unapojua wanapika gongo na local pombe mjulishe Dc wetu kwa simu no 0712383831
Asipopokea mtumie meseji
Tusaidiane nae katika vita hii..
 
Swala LA kunywa pombe ni la kila sehemu. Tatizo la Rombo limekuwa kubwa au linakuzwa mno.
La msingi ni kutafuta kinachopelekea watu wa Rombo wawe wanywaji hivyo.
 
Kwanini unafikiri linakuzwa? ♢♢♢♢Kwa manufaa ya nani?
 
Back
Top Bottom