NAMKONG'O JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 519 Reaction score 133 Oct 9, 2015 #21 OME123 said: Lowasa ndie tunamtaka Click to expand... Unamtaka wewe! Watu wamebadili gia Magufuri ndio mtazamo wa wengi kwa sasa.
OME123 said: Lowasa ndie tunamtaka Click to expand... Unamtaka wewe! Watu wamebadili gia Magufuri ndio mtazamo wa wengi kwa sasa.
Kaputupu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,486 Reaction score 1,179 Oct 9, 2015 #22 Je kwa wale tunaotumia jf through operamini sometimes tunaingia o.internet.org ina maana hiyo site nayo haitakuwa fre ama....? Bado sijaelewa....
Je kwa wale tunaotumia jf through operamini sometimes tunaingia o.internet.org ina maana hiyo site nayo haitakuwa fre ama....? Bado sijaelewa....
KIMUKI Member Joined May 1, 2013 Posts 31 Reaction score 5 Oct 9, 2015 #23 Latifaa said: Uchaguzi mnashinda mno Jf sasa wamestukia kupanda dau ili habari zisisambae kwa kasi, kweli Magufuli hana huruma na watz nazidi kumchukia Mimi na kijiji change wote hatumpi kura zetu ng'ooooo, aende bagamoyo akasimamie ujenzi kwa best yake Click to expand... Binti utakuwa una kaugonjwa njoo mlingotini tukutibie Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Latifaa said: Uchaguzi mnashinda mno Jf sasa wamestukia kupanda dau ili habari zisisambae kwa kasi, kweli Magufuli hana huruma na watz nazidi kumchukia Mimi na kijiji change wote hatumpi kura zetu ng'ooooo, aende bagamoyo akasimamie ujenzi kwa best yake Click to expand... Binti utakuwa una kaugonjwa njoo mlingotini tukutibie Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums