Wanaoshangaa Tanzania kuomba Afrika Kusini huenda wakawa hawajui haya

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
220
689
Sasa mnashangaa nini Tanzania kuomba Afrika ya Kusini.
Hivi mmesahau jinsi tulivyowasaidia hawa tena buree.
Tuliwapa ofisi.

Tulwalipa mishahara.

Tukatoa jeshi letu kuwafundisha mapigano.

Tuliwapa silaha za kivita , magari ,vifaru.

Walikula ng'ombe wetu na kuku wetu.

Wakaoa na kuzaa na dada zetu.

Kiufupi Uhuru wao tumeutengeneza sisi Tanzania.

Tulitoa fedha za Watanzania kwa ajili ya ukombozi wa ndugu zao wa Afrika ya Kusini.

Leo isiwe nongwa , acheni watulipe fadhila kwa wema tuliowatendea.
Mahusiano na yadumu.
Afrika ni moja na itabakia kua moja .

Ngikhona, ngiyabonga.
Sizobonana.

Chiwinga A.
 
Kwa taarifa yako huyo Zuma ni kama pambo tu, hayo yote uliyoyasema hayawezi kutekelezwa na rais mweusi kwani huko Africa kusini wenye uwezo ni weupe na weusi wanajivunia kuwa na madaraka tu. Sisi tuliwasaidia hao weusi na asikudanganye mtu eti Afrika ya kusini ubaguzi uliisha kwa ajili ya hivyo vifaru, na sijui magari ya kivita toka Tanzania bali hao wazugu waliona tu hakuna haja kuendelea na huo msigano. Kwa hiyo usikae kudanganya watu hapa eti tuliwasaidia chochote cha maana kwa ajili ya kuondoa ubaguzi. Hivi ni nani anayekudanga eti Tanzania ilikuwa na vifaru sijui magari ya kivita ya kuweza kwenda kuwakomboa weusi huko kusini? Kama huamini nenda kwenye vitega uchumi vya Afrika kusini hapa nchini uone wenye nguvu na maamuzi kama kuna mtu mweusi kama Zuma. Zima akimaliza kusaini hapa nchini makubaliano yoyote akienda huko nchini kwake anaishia kupigia magoti hao weupe, kwa hiyo itategemea hao weupe wanachuliaje hiyo mikataba. Na ukweli mchungu hao weupe mpaka leo ni wabaguzi na hapa kwetu watakuja kupiga tu na sio kuleta faida yoyote ya maana.
 
Umesahau hii,,,wakaondoka na PM wetu,
 
Ukweli mtupu, uko sahihi

na Tatizo la Tanzania kunyimwa Mikopo na Misaada lipo wazi..

Makaburu ni Netherlands and Australia

So, EU Na America ndio wamesema full stop
 
Kwani msaada huwa unalipwa? Nyerere must be turning in his grave. Mahiga is increasingly failing us in the diplomatic front.
 
Nchi ya Kiafrika kuwa na uchumi mzuri ni sawa. La kujiuliza ni je, kuna vya ziada hadi kuweza kutoa msaada kwa Mwafrika mwenzie?
 
Kwa taarifa yako huyo Zuma ni kama pambo tu, hayo yote uliyoyasema hayawezi kutekelezwa na rais mweusi kwani huko Africa kusini wenye uwezo ni weupe na weusi wanajivunia kuwa na madaraka tu. Sisi tuliwasaidia hao weusi na asikudanganye mtu eti Afrika ya kusini ubaguzi uliisha kwa ajili ya hivyo vifaru, na sijui magari ya kivita toka Tanzania bali hao wazugu waliona tu hakuna haja kuendelea na huo msigano. Kwa hiyo usikae kudanganya watu hapa eti tuliwasaidia chochote cha maana kwa ajili ya kuondoa ubaguzi. Hivi ni nani anayekudanga eti Tanzania ilikuwa na vifaru sijui magari ya kivita ya kuweza kwenda kuwakomboa weusi huko kusini? Kama huamini nenda kwenye vitega uchumi vya Afrika kusini hapa nchini uone wenye nguvu na maamuzi kama kuna mtu mweusi kama Zuma. Zima akimaliza kusaini hapa nchini makubaliano yoyote akienda huko nchini kwake anaishia kupigia magoti hao weupe, kwa hiyo itategemea hao weupe wanachuliaje hiyo mikataba. Na ukweli mchungu hao weupe mpaka leo ni wabaguzi na hapa kwetu watakuja kupiga tu na sio kuleta faidayoyott ya maana.
Kweli mkuu ingawa unaweza usieleweke na baadhi ya watu humu. jambo LA kuamini kuwa wasouth Africa wanaweza muarobaini wa matatizo yetu ni umbumbumbu. tunahitaji kupambana kivyetu. pamoja na misaada ya hali na Mali tuliyotoa haitupi cc kibali cha kulipwa kwa namna wengi wanavyofikiri kwa sababu. 1. kama ulivyosema kuwa uchumi wa nchi hito tajiri barani Africa unabebwa na weupe 2. Makaburu bado ni wabaguzi. mfano miaka michache tuliwabinafsiahia shirika hili linalofufuliwa kwa kununuliwa cifaavipya sasa hatima yake ikawa ni kuuzwa kwa majumba na ofisi sake.tumerudi nyuma badala ya kwenda mbele. tuache siasa tujipange kuwekeza kwenye vitu vya msingi . na kuwa na vipaumbele vya kitaifa.
 
Back
Top Bottom