Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,428
Inasikitisha Kuona Wanasiasa Wanazeekea Bungeni; Leo unamsikia bibi tu mzima anaendelea kusema Mungu amjalie aendelee kuteuliwa kuwa Mbunge.
Ebu uangalie umri wa Wassira, Mrema, Sitta, Mkuchika, Mkono, Cheo , Si wafanyakazi zao za kujiajiri.
Inasikitisha Wazee Ving'ang'anizi. Ona Huyu Mbunge wa kibiti bado umri unamruhusu lakini kwa miaka yake 10 kasema hatagombea na amekabithi kijiti.
Safi sana na wengine waige mfano.