Wanaoongoza kuinyonya Afrika sasa ni Asia, sio wazungu au Magharibi

Biashara ya tatcliffe zipo uingereza na sio monaco tofautisha resident na hela inapovuniwa

Mfano nchi yenye hela duniani ni marekani ikifuatiwa na china sababu hizo zina gdp kubwa sana na sio hizo nchi umezitaja
Hela pia inaangaliwa per capita, China na Usa na India wana Uchumi mkubwa kuliko Nchi Nyingi Duniani sababu ndio nchi tatu zenye watu wengi.

Dubai, Singapore, Ireland, Monaco etc hazina uchumi kama India ila watu hawaendi India bali hizo sehemu sababu kuna opportunities kubwa na ni Tax haven.

Ratclife kahamishia Monaco kampuni yake kukwepa Kodi, so inauza tu uingereza ila ni Kampuni ya Monaco.
 
Angalia hio raman ya bara la asia usiwe unabisha bisha tuView attachment 2935387
Sometime Ramani hutakiwi kuangalia flat sababu dunia ni duara.


Hii Ramani ya Dunia kwa juu, kama ulikuwa hufahamu ukiangalia Dunia kupitia North pole Urusi, Canada na Usa zipo pamoja, hata Eneo la USA la Alaska zamani ilikuwa ni Part ya Urusi wakaliuza Nafkiri,

Ukiangalia ramani ikiwa flat huwezi jua eneo la Juu la Urusi lipo North America
 
So tu inauza uingereza bali kule ndo alikopatia utajiri
Hizo nchi ulizotaja sio za kutengeneza wealth
Bali marekani na china ni nchi unaweza kutengeneza wealth kirahis sana
 
Unaubishi wa kijinga naweza sema hivyo
Urusi upande wa moscow upo ulaya ila upate wa vladivostoc uko asia
 
Russia inajulikana iko bara gani kiitifaki???
Usiongee assumpts zako.
Basi tukileta hizo assumpts basi hata Turkiye 67% iko Asia na 33% iko europe.
KIITIFAKI RUSSIA IKO BARA GANI???
Russia ni nchi kubwa sana huwezi fananisha na turkey
Upande wa vladivostock ni asia ambapo imepakana na china na japana na korea ila upande wa moscow ni ulaya hii iko wazi labda wewe ndo hujui

Ndo maana asia inakua bara kubwa kuliko yote na kama urusi yote ingekua ulaya basi ulaya ingekua ni bara la pili kwa ukubwa na sio afrika
 
Russia ni nchi kubwa sana huwezi fananisha na turkey
Upande wa vladivostock ni asia ambapo imepakana na china na japana na korea ila upande wa moscow ni ulaya hii iko wazi labda wewe ndo hujui
Aisee unakaza fuvu we jamaa na u much know mwingi!
Kiitifaki Russia iko wapi??
Kiuhalisia Turkiye 67% ipo Asia.
Kumbe we unatizama ukubwa peke yake??
Katizame kijiografia Turkiye inaelemea wapi asilimia kubwa.
Nijibu kiitifaki Russia iko wapi.
 
Unamuuliza kiitifaki Russia iko wapi anakuletea maelezo meeeeeengiiii yasiyo na tija.
 
Aisee unakaza fuvu we jamaa na u much know mwingi!
Kiitifaki Russia iko wapi??
Kiuhalisia Turkiye 67% ipo Asia.
Kumbe we unatizama ukubwa peke yake??
Katizame kijiografia Turkiye inaelemea wapi asilimia kubwa.
Nijibu kiitifaki Russia iko wapi.
Kiitifaki ndo nini russia sehemu kubwa ya ardhi ipo asia na iliyobakia ipo ulaya
Siberia yote ipo Asia
 
Aisee unakaza fuvu we jamaa na u much know mwingi!
Kiitifaki Russia iko wapi??
Kiuhalisia Turkiye 67% ipo Asia.
Kumbe we unatizama ukubwa peke yake??
Katizame kijiografia Turkiye inaelemea wapi asilimia kubwa.
Nijibu kiitifaki Russia iko wapi.
Alafu kuna mambo mengi sana hujui
Nikusaidie
Unasemaje eti sehemu ya turkey ipo asia ni uongo Azerbaijan na kazakhstan zipo ulaya na zote hizi nchi mbili zipo mashariki mwa turkey
 
Kuna kiwanda cha jeans Ubungo kinatengeneza Jeans za Wrangler na Levi's, sema hizi zinatengenezwa Tanzania na kuuzwa nje,

MO pia ana ana viwanda vingi vya nguo Kuna Mutex cha Musoma, 21 century Morogoro etc, wanatengeneza Vitenge, Mashuka, Mablanket YA shule nafkiri sare za Jeshi pia na mambo mengine.

Kuna viwanda local vya batiki, Mashuka kama Nida etc.

Kifupi viwanda vya nguo aina ya Cotton vipo vingi sana sababu pamba tunalima hapa hapa, ni rahisi ku compete.

Jezi sasa ni mziki mwengine, Material za Polyester ama zifananiazo ngumu ku compete na China, polyester inatokana na plastic, hata hizi chupa wanazookota barabarani zinaweza kutengeneza Jezi sema kuziandaa ni shughuli pevu, Technology zake zinahitaji mitaji mikubwa.
 
Hao westerns wamekusaidia nini wewe kama mwananchi!

Mzungu amekuja kufungua mgodi anaproduct anaenda kujenga nchini kwake, Wa Asya wanatengeneza magari, mabasi, pikipiki, bajaji, Toyo, baiskeli, nguo, mashuka, hereni, mikufu, mabangiri, shoe's, electronics, silaha, furniture's, na vyakula pia wanalima tunanunua, maisha yanaenda, halafu unakuja kuwasifia westerns, really!!
 
Alafu kuna mambo mengi sana hujui
Nikusaidie
Unasemaje eti sehemu ya turkey ipo asia ni uongo Azerbaijan na kazakhstan zipo ulaya na zote hizi nchi mbili zipo mashariki mwa turkey
Ona hii jamaaa inazungumza nini.
Embu kaitizame ramani vizuri uone Uturuki eneo lake kubwa iko wapi.
Itizame hasa kuanzia central mpaka southern Turkiye mpakani na Syria.
Una ubishi wa kidananda.
 
Waafrika ni wachawi, wanajinyonya damu wenyewe.
 
sawa sawa kaka, ngoj tukuze bongo zetu, tuje tu compete na waliopo naona wamelala hahahaah, nikiwaza nch kama dubai imeendelea kwa muda mfupi tu, afu sisi tuna zaid ya miaka 60 ,mambo yale yale maji, umeme , afya, yaanu tabu tupu sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…