Wanaona gere

Aisee wakusakamao kama kweli wapo humu basi wajisalimishe uwatwishe maneno waziwazi.
 
Wanaume wa jf mnalala sana toumbeni hii mutu
Waombee Hawa viumbe wanashida wanaume wa jf sio Mimi wanadhani watu wahawawezi kuwa na mtu ni wao tu mbona wakati wananitukana unakaa kimya husemi Hawa wanaume mnashida gani mnamsema mtu vibaya hivyoo ila ikija saa ya wanawake wenzenu kupondwa mnacomment umesikia nahitaji maombi labda wewe unayahitaji for me najua kuomba no need to be helped in prayers
 
Unique dear nahisi unahitaji mb.00
 
Hebu wataje kwanza tuwachambe

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaeza ukaona uko sahihi ila kiukweli inaonesha jinsi gani hujitambui.
A real man and gentleman hanaga time ya ku-body shaming any woman it show how immature you are.

I pray you grow up and realise your mistake asap maana utazeeka vibaya mno
 
wee nae usinichanganyie lugha paka mweusi wee.wee mwenyewe mbovu tuu.😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…