THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,922
- 13,494
Ladies and Gentlemen,
Friends and Our Enemies,
Asalaam aleykum.
Takribani wiki mbili sasa mara baada ya aliyekawa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dr Ramadhan Dau kuteuliwa kuwa Ambassador na kumaliza utumishi wake uliotukuka katika Giant Pension Fund East and Central Africa NSSF kumekuwa na mrundikano wa shutuma na character assassination zisizo za kawaida juu ya Mkurugenzi huyo huku wabaya wake wakisimamia katika kile kinachoonekana uzushi na uzandiki uliokosa mashiko na uliokosa facts.
Kumekuwa na delibarate efforts hata kwa baadhi ya magazeti ambayo yalijijengea heshima katika weledi wake magazeti kama mwananchi ambayo takriban siku mbili za week hii inayoisha cover page yake ilikua ni habari tu za NSSF ambazo kwa namna moja ama nyingine zimeegea huhakikisha image ya Dr Dau inaharibika tena kwa kutumia takwimu zisizo na uhalisia juu yake na kutaka kuuaminisha na kuupotosha umma just kwa nia yao tu ya kuganga njaa kutokana na matumizi ya kihiyo ya kalamu zao,sisi tunawaita ni wafa maji na wanatapa tapa.
Wengi miongoni mwa watu i.e Robbots tunaochart nao humu mitandaoni huonekana wazi wazi kuwa ni watu wenye mission zao mahususi za kuhakikisha taswira ya kiongozi huyo inaharibika hata kama wanatumia uongo na uzushi kwani siku zote jambo likisemwa semwa mara nyingi mwshowe huzoeleka na baadhi ya wajinga wanaweza kufikiri kuwa ni kweli.
Najua wapo ambao wanasema kuwa kuna watu kama kina sisi ni watetezi wa Dr Dau eti kwa kuwa tu ni muislam mwenzetu kwaiyo tunapigania kuhakikisha kuwa Dr Dau haguswi au hasemwi kwa chochote kile thats not true.
Hakuna mtetezi wa Dr Dau kwasababu kwanza yeye si mtuhumiwa na hapa si mahakaman na wala hahitaji utetezi wowote kutoka kwa mtu yeyote hapa ni JF na watu siku zote tupo kwenye mijadala ya majibizano kwa kutumia data na facts.
Sasa hatuwez kuwaacha watu wenye mimba zao za chuki wageuze hapa JF kama ni labour ya kujifungulia hizo mimba zao za chuki ili hali tunafaham fika kwamba wanachofanya ni uzush wa makusudi wa kutaka kuchafua image za watu kwa sababu wanazozijua wao.
Wapo watu wanafikiri kuwa wanaweza wakasimama na kuanzisha vita vya maneno ya uchochez hasa wenye silka na mwelekeo wa chuki za kidini kisha wakataraji watu wengine wakae kimya wasijibu uchochez huo hicho kitu hakiwezekan.
Sisi tupo na tutasimamia kile ambacho tunakiamini nacho ni data na facts.
Wapo wengine wamethubutu hadi kuweka takwimu za uongo kupotosha umma huku wakiziita kuwa ni CAG Reports ambazo zinaonekana tusherehesha aina flan ya uozo ambao umefanyika chin ya uongoz wa Dr Dau na kadhalika...
The Truth is Genuine CAG report bado haijatoka..watu waache kupiga ramli na kuongea vitu ambavyo hawana uhakika navyo...
Pia we take this chance kuwasihi waandish wa habari hususan wa hayo magazeti ambayo kwa makusudi kabisa wanaamua kuandika vitu wasivyo na uhakika navyo au kwa kujua kabisa kuwa wanapotosha ili mradi tuh wafanikishe nia yao ya kuganga njaa kwa kutumia kalamu zao...
Waache kupotosha umma na wasubiri muda ndiyo utaeleza kila kitu...
Hatupo hapa kupinga hayo yanayosemwa kwa mwamvuli wa dini..tupo hapa kusimamia katika facts na evidences katika hizo character assassinations and stereotypes zinazofanywa kwa makusudi kabisa na kwa nia ya wazi kabisa ya kupotosha uma.