Rutashubanyuma
JF Senior Expert Member
Join Date: Fri Sep 2010
Posts: 2,800
Thanks: 1,211
Thanked 970 Times in 374 PostsRep Power
27
Dena Amsi
JF Senior Expert Member
Join Date:Tue Aug 2010
Posts: 1,469
Thanks:5
Thanked 201 Times in 164 PostsRep Power 23
Hawa jamaa inaonekana wanakuja kwa kasi sana......naomba tuwapashie wafuatao, kama kuna watu sijaowaona msisite kunistua! They deserve a big clap!!!!
Mkuu Ruta ana wastani wa karibia posts 31 kwa siku.....Kweli anatisha!
Dena ana wastani wa posts 12 kwa siku....si haba ila namwomba akumbuke kutumia kidude cha thanks (blue)!
DC
Kwani amekosea kitu?
Hebu basi kaangalie hicho kudude kimeandikwa hivi.."Thanks" ndio tuendelee. Inaonekana macho yako yana allergy na hicho kitufe....!
yaani dc umenirusha live???
Mjukuuu naona unataka kuanzisha vita,
Hebu fanya basi haraka kabla babu hajakasirika!
haiwezekani kamwe sitoi thanks kwako umenichana live halafu nikkupe thanks yanini
Haiwezekani kamwe sitoi thanks kwako umenichana live halafu nikkupe thanks yanini
yaani dc umenirusha live???
umenichana live
najua unabana kidogo ila with time utaachia tu..umesahau kuwa unadeal na babu dc...yuko ndani ya hii house toka 1947..si mchezo ati!
Najua unabana kidogo ila with time utaachia tu..umesahau kuwa unadeal na Babu DC...yuko ndani ya hii house toka 1947..si mchezo ati!
For that useful post jamani kwani huoni...hata akikuchana live mpe thanks tu DA ndo 'utamaduni' wa hapa...lol
dc hapa mbona hivi vipi tenaaa mbona mtoto analalamika sana umemfanya nini
Retired Maj Gen DC (1947)
HABARI YAKO BANAA SIJAKUONA KWENYE GWARIDE LA UHURU AU HAUTAKI KUKUMBUSHIA ENZI ZAKO