duuuuu bongo bwana unaweza kuta kuna mtu ameshakula tenda hapo ya kukatisha tiketi wakati kunawafanya kazi wa TRL wanacheza karata ofisini
mwanzo mgumu nadhani watarekebisha Wawatrain vijana wa kiume waliomaliza Secondary na vyuo wanaoshinda vijiweni Jobless.
unaweza ukute hiyo kampuni ya kukata ticket inamilikiwa na mke wa mkurugenzi wa TRL...usifanye mchezo na wabongo...
.....unanikumbusha kichefuchefu kingine ubungo bus terminal nasiki mzee kingunge & co naye amekula shavu!duuuuu bongo bwana unaweza kuta kuna mtu ameshakula tenda hapo ya kukatisha tiketi wakati kunawafanya kazi wa TRL wanacheza karata ofisini
.....unanikumbusha kichefuchefu kingine ubungo bus terminal nasiki mzee kingunge & co naye amekula shavu!
Ku out source ni Vizuri sana, Ila Changamoto ni Nyingi!! Mimi ningependelea Kwenye Vituo vyote vilivyoteuliwa Viwekewe Fence na Mkatisha ticket awepo Kwenye defined office na electronic Ticketing Machine!! Na pia kuwepo na option ya kukata hata tikect za msimu au za muda mrefu kidogo say kwenda na kurudi ili kuondoa usumbufu wa Change!!