Leo nimepanda train kutokea Mabizo mwananchi kuelekea mjini stesheni na kujifunza yafuatayo:
1. Wale wa dada wanaokatisha ticketi ndani ya train hawana uzoefu na ni waoga, kwani walikuwa wanadai abiria huku wakiwa wananyuso za uoga.
2. Hawakuwa na ticketi za kutosha kwa abiria tuliopandia njiani ambako hawajaweka vituo vya kukatia ticketi matokeo yake zilimwishia na mimi kushindwa kumpa pesa bila ticketi............inaniuma sana kwani nilipanda buree bila kulipa.
3. Inasemekana wanaokatisha ticketi ni kampuni binafsi na si wafanyakazi wa TRL, kwa nini imepewa Kampuni binafsi???......source...mfanyakazi wa TRL tuliyekuwa naye ndani ya behewa.
Ili waweze kufanikiwa kukusanya mapato naomba hawa wadada waliowekwa waondolewa na kupewa kazi hiyo wafanyakazi wa TRL wenyewe kwani tunahitaji usafiri huu uendelee kuwepo kwa manufaa ya wa Tz.
Nawasilisha wana JF !!!!!