mangonjoli
Senior Member
- Aug 29, 2012
- 154
- 110
Naomba kujua kwanini wote wanaohama CCM wanakimbilia Chadema na Sio Washirika wengine wa UKAWA kama CUF, NCCR au NLD? Je ni tamaa ya kupata vyeo kwa sababu Chadema ndio italayounda serikali? Kichwa kinauma wadau
Kwa hiyo wao wanafuata madaraka tu? Wanamfuata MCHWA Mkuu.Naomba kujua kwanini wote wanaohama CCM wanakimbilia Chadema na Sio Washirika wengine wa UKAWA kama CUF, NCCR au NLD? Je ni tamaa ya kupata vyeo kwa sababu Chadema ndio italayounda serikali? Kichwa kinauma wadau
Kinana hakukosea kuwaita Makapi , Msindae, Guninita, Makongoro ni Makapi kwelikweli.Ni wale mafisadi waliokuwa hawana amani Ndani ya ccm ' kutoka n'a kunyiwa fulsa Ndani ya ccm wameamua kukimbilia chadema
kuna mafisadi wamepitishwa kura za maoni, wangekatwa na wao wangehamia chadema!Ni wale mafisadi waliokuwa hawana amani Ndani ya ccm ' kutoka n'a kunyiwa fulsa Ndani ya ccm wameamua kukimbilia chadema
Mapenzi na pesa za Lowassa, ngoja Malkia wao huyo aangukie pua hapo Oktoba tutaheshimiana.Wanamapenzi nacho zaidi.
Hayo yatakatwa tu kama Malkia wao alivyokatwa Dodoma, vuta tu subira.kuna mafisadi wamepitishwa kura za maoni, wangekatwa na wao wangehamia chadema!
ndo imetoka mama, labda wananchi waamue wenyewe!Hayo yatakatwa tu kama Malkia wao alivyokatwa Dodoma, vuta tu subira.
Naomba kujua kwanini wote wanaohama CCM wanakimbilia Chadema na Sio Washirika wengine wa UKAWA kama CUF, NCCR au NLD? Je ni tamaa ya kupata vyeo kwa sababu Chadema ndio italayounda serikali? Kichwa kinauma wadau