amani ya kweli
Senior Member
- May 2, 2015
- 149
- 17
Nimesema hivyo kwakuwa usalama Wa taifa hawawezi kushughulika na ujinga Wa namna hiyo. Usalama Wa Taifa ni ngazi ya juu kabisa ya usalama Wa raia katika TAIFA. Ulinzi wanaoufanya ni zaidi ya majeshi yote. Hulinda RAIA wote bila kujali kabila, dini, chama, Rangi n.k. kama kuna kikundi kinafanya ujinga na upumbavu Wa namna hiyo tena kikiongozwa na BASHITE basi ni kikundi haram ndani ya USALAMA Wa TAIFA. afu iweje mtu akikosoa hoja za SISIEM basis kimbilio ni kumteka, kumtesa hata kumuua?????? HAKI YA NANI kama ni wao Basi HAWANA BASI HAWAJUI WAJIBU WAO NA MAJUKUMU YAO