Watu wanaamini kuwa migogoro mingi iliopo sasa chadema itaua chama ila nimwanzo wakutengeneza chama imara kisichotikisika,
Kwani..NAAMINI MUNGU ANATAKA IPA NCHI CHADEMA 2015, LAKINI LAZIMA AITENGENEZE CHADEMA KWANZA KABLA 2015, NDIO MAANA YA HII MISUKOSUKO LAZIMA WALE WOTE WASIO WAKE AWAWEKE PEMBENI..nawapo wengi watatoka na kuingia ila Chadema itazidi kuwa Imara..so kama unaombea cdm isambaratike Subiri 2015 ndio utakapoona Jinsi CCM inagawanyika makundi mawili na chadema itakavyo inuka, Haya nimaono ya watu wachache sana wanaoweZa ona mbele!