Wanao hama vyama kwa sasa

Wanao hama vyama kwa sasa

Adam Reverian

New Member
Joined
May 21, 2024
Posts
0
Reaction score
0
Nimekuwa nikijiuliza kwamba, hawa wanaohama vyama vyao baada ya kura za maoni huko wanakokwenda wawathamini wanachama wanaowakuta huko.Mfano kuna watu wamepigania chama mda mrefu,wamejitangaza kwa raia kwa mda mrefu,mwisho wa siku anaambiwa asigombee ubunge ili ampishe mtu aliyekuja dakika za majeruhi kwa amechoshwa na mizengwe ya chama chake cha awali.Natoa ushauri kwa viongozi wa vyama vyetu kwamba,hawa wanaokuja dk za majeruhi wasihatarishe nafasi za waliowakuta bali wapige kampeni ya nguvu ili wasaidie ushindi na baada ya miaka 5 ndipo wagombee maana watakuwa wameshafahamika kwa wanachama,rejea ya John Shibuda,nawakilisha
 
Back
Top Bottom