Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,224
- 111,172
Huyo mtoto ni wa mwanamke, ila wewe ni baba tu, inahitaji umri kuyajuwa haya.Wana Mmu habarini iam very dissapointed nimezaa na girlfriend wangu ni mnyarwanda anaitwa Yveti wazazi wake mmoja ni,mtanzania ila mama ake ni mnyarwanda na wazazi wake wote wanaishi rwanda(wana biashara zao) nilikutana,nae school of medicine sasa nimezaa,nae cha ajabu wazazi wake wanataka nimuite jina jezebeli mtoto ana siku 14 bado tunazozana maana mimi sitaki hilo jina maana lina mreflect mtu hatari sana kwenye bible ambaye alikua mwanamke katili muuaji anaejipenda for sure sijawai kuona mtu anamuita mwanae jezebel kwa sasa hv tumeamua kumpa jina baby kwa muda hadi tuafikiane ila wao hawataki kuchange mawazo sasa naombeni mnishauri hv ni mindset yangu tu kuhusu jina ama nipo sahihi nikubali hilo jina
Hahaha. Naomba hicho ulichovuta mpendwa.
Kiroho majina yana impact kubwa.
Nitakupa mifano miwili tu kutoka kwenye biblia:
1. Kumbuka namna Yakobo alipomkatalia mkewe Raheli kuhusu jina Benoni na badala yake akamwita Benyamini (Soma Mwanzo 35:18). Benoni ilimaanisha "Mwana wa huzuni/son of sorrow" wakati Benyamini ina maana "Mwana wa furaha/son of happiness."
2. Kumbuka pia mtu mmoja alibatizwa jina la Yabeshi na mama yake, kwa kuwa huyu mama alimzaa mtoto huyu kwa maumivu. Yabeshi ilimaanisha "Mwana wa maumivu." Hivyo huyu jamaa alipokuwa mtu mzima maisha yake yakawa ya huzuni na maumivu mpaka alipoutafuta uso wa Mungu, kumbe hakujua vilisababishwa na jina. (Soma 1 Mambo ya Nyakati 4:9-11).
Sasa, tukija kwa jina Yezebeli lina maana "binti wa baali/mungu sanamu" & ukienda kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana utaona lina reflect ukahaba. Ndio maana Yezebeli mke wa mfalme Ahabu alipenda kuabudu sanamu, kumbe jina lake lilimaanisha "binti wa baali."
Je! Wewe una amini katika nini? Chaguo ni lako.
Wana Mmu habarini iam very dissapointed nimezaa na girlfriend wangu ni mnyarwanda anaitwa Yveti wazazi wake mmoja ni,mtanzania ila mama ake ni mnyarwanda na wazazi wake wote wanaishi rwanda(wana biashara zao) nilikutana,nae school of medicine sasa nimezaa,nae cha ajabu wazazi wake wanataka nimuite jina jezebeli mtoto ana siku 14 bado tunazozana maana mimi sitaki hilo jina maana lina mreflect mtu hatari sana kwenye bible ambaye alikua mwanamke katili muuaji anaejipenda for sure sijawai kuona mtu anamuita mwanae jezebel kwa sasa hv tumeamua kumpa jina baby kwa muda hadi tuafikiane ila wao hawataki kuchange mawazo sasa naombeni mnishauri hv ni mindset yangu tu kuhusu jina ama nipo sahihi nikubali hilo jina

Huyo mtoto ni wa mwanamke, ila wewe ni baba tu, inahitaji umri kuyajuwa haya.
unajua kwanini hawasikilizi mawazo yako mkuu?? wewe ni nani hasa? ulijitambulisha kwao na wazaziwakakujua wazazi wenu wanajuana? umefata taratibu hasa za kulea mimba kama baba mtarajiwa? tuanzie hapo
Watishie kama wakimuita Jezebeli nawe utabadili jina uitwe Lucifer, wenyewe watazima upuuzi wao.
Hakika mtumishi wa mungu umetoa majibu murua kabisa mpaka nimepata hamu ya kwenda kanisani kuabudu maana yapata miaka karibu 8 toka ni fike church