mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,757
- 6,290
Umemuuliza Mama yao ni nani baba wa hao watoto? Usikute unaishi na watoto wa wanaume wengine ukidhani ni wako, wanawake hawa kwa kweli Mungu anawaona.Kwakweli kama mzazi naumia na nakosa raha sana
Ni vijana wangu, huyu mdogo hana kabisa heshima kwa kaka yake, nimepoteza hela nyingi kumgharamia ila amevuruga kila kitu
Na mama yake hakiwa mtetezi wake mkuu
Niliwaita, wote wawili jana na nikawaambia ule wimbo wa baatu buduju,nyie watoyowa baba mmojaa
Kama malizipo, kama manyumba yapoo, nyie ni watoto wafaza mmoja, nyie niwatoto wa dadi mmoja
Nikawashikinisha mikono nakuwataka wapendane, kwani wawo nivijana wangu
Nachoja sana, huyu mudogo pulosip.a ni musubufu saana
Nimepoteza zadi ya miriwonu sabibi kumushugurikiya,ira amevuruda naamama, yakeanamutetea uyu muke wagu mudogo yurewa piri
Wakubwa wezangu, mali zipo ila vijana wangu hawapendani, nakosa furaha.
Hii thread imeandikwa na watu wawili tofauti? Ni kama alieandika juu ana akili kiasi, na alieandika chini hana hata kitunzia akiliKwakweli kama mzazi naumia na nakosa raha sana
Ni vijana wangu, huyu mdogo hana kabisa heshima kwa kaka yake, nimepoteza hela nyingi kumgharamia ila amevuruga kila kitu
Na mama yake hakiwa mtetezi wake mkuu
Niliwaita, wote wawili jana na nikawaambia ule wimbo wa baatu buduju,nyie watoyowa baba mmojaa
Kama malizipo, kama manyumba yapoo, nyie ni watoto wafaza mmoja, nyie niwatoto wa dadi mmoja
Nikawashikinisha mikono nakuwataka wapendane, kwani wawo nivijana wangu
Nachoja sana, huyu mudogo pulosip.a ni musubufu saana
Nimepoteza zadi ya miriwonu sabibi kumushugurikiya,ira amevuruda naamama, yakeanamutetea uyu muke wagu mudogo yurewa piri
Wakubwa wezangu, mali zipo ila vijana wangu hawapendani, nakosa furaha.
Hata akifa pulosipa huyo mdogo wa mke wa pili asipewe mali nyingi atazitapanyaMoja ya nyuzi zilizoandikwa harafu unahisi km unamuona muandikaji anavyoumia. Kwa huu uandishi inaonekana ni mtu mwenye uchungu sana...
Mzee pole sana, hao watoto wako inavoonesha hawawezi kuja kupatana na hata wakipatana itakuwa ni ya kinafiki tu. Hakikisha unawaachia wosia ulionyooka kuhusu mgao wa mali zako zote kabla hujafa. Ukifa wanaweza kuja kuuana
Nadhani ni moderators ndo walikuwa wanajaribu kuiweka sawa... Maana jana iliandikwa km unavyoiona kwa chini kuanzia kwenye heading ila moderators wakaiweka sawaHii thread imeandikwa na watu wawili tofauti? Ni kama alieandika juu ana akili kiasi, na alieandika chini hana hata kitunzia akili
Kapime DNAKwakweli kama mzazi naumia na nakosa raha sana
Ni vijana wangu, huyu mdogo hana kabisa heshima kwa kaka yake, nimepoteza hela nyingi kumgharamia ila amevuruga kila kitu
Na mama yake hakiwa mtetezi wake mkuu
Niliwaita, wote wawili jana na nikawaambia ule wimbo wa baatu buduju,nyie watoyowa baba mmojaa
Kama malizipo, kama manyumba yapoo, nyie ni watoto wafaza mmoja, nyie niwatoto wa dadi mmoja
Nikawashikinisha mikono nakuwataka wapendane, kwani wawo nivijana wangu
Nachoja sana, huyu mudogo pulosip.a ni musubufu saana
Nimepoteza zadi ya miriwonu sabibi kumushugurikiya,ira amevuruda naamama, yakeanamutetea uyu muke wagu mudogo yurewa piri
Wakubwa wezangu, mali zipo ila vijana wangu hawapendani, nakosa furaha.
Ada bafua tu pale akitaka kueleza shida ya wanae ila kwenye kuanza na kumalizia uzi yupo vyediUda mavua 😹😹
Pode sana mkoo
KwakweliMzee pole sana ngoja tuvae mewane lens mbinuko ndio tusome huu mwandiko
Ana bafua bakali sanaUda mavua 😹😹
Pode sana mkoo
🤣🤣🤣Et miliwon sabibi!USITUCHOSHE
Hivi yule jamaa aliendaga wapi? Alikuwa anatuona member wote humu ni kama firigisi...Pole sanaa mkuu
Yasije tu kuwa kama mambo ya viatu vya samaki😂stori za uongo na kweli na kujifanyisha hajui kuandika.
Mwehu kabisa huyu🤣🤣🤣
Wewe ni Mtanzania kweli? Hii lugha gani umeandika hapa?Kwakweli kama mzazi naumia na nakosa raha sana