Maisha yameshabadili mioyo ya watanzania, zamani unaposikika mlio wa risasi kila mtu anajifungia ndani lakini siku hizi watu wanafuata mlio wanajua wanaweza bahatisha zilizodondoka dondoka, mbaya zaidi wakigundua risasi zimekwisha lazima wamnyofoe mtu roho.