Wananchi waomba mchanganuo wa matumizi ya pesa za Mzee Sabodo anazowapa Chadema

Utoto ni kitu kibaya!
 
Hivi mnaweza kutuonesha repoti za mapato na matumizi ya CDM kwa vipindi hivyo hapo juu?

Najua kuwa ajenda kubwa ya CHADEMA ni mapambano dhidi ya ufisadi ambayo ni muhimu kwa ustawi wa taifa hili.

Na kwa chama makini kama CDM, si dhani kama hili litakuwa tatizo kwa kuwa chama kinaamini kwenye uwazi.

Wengine wanaweza kuja na maswali, iko wapi ya CCM na vyama vingine? Kama kuna mtu anayo anaweza kuipost pia.

NOTE:

Hakuna cha kuficha kwenye mapato na matumizi ya vyama ambavyo lengo lake ni kumkomboa mtanzania kutoka kwenye dimbwi la umaskini.
 

Hiyo ripoti unataka upewe kama nani kwa cdm?
 
Ripoti ya mapato na matumizi huwa inatolewa kila mwaka na pia inawashirikisha wafadhili wake akiwemo Sabodo.
Vuta subira italetwa hapa muda si mrefu.
 
ripoti ya mapato na matumizi huwa inatolewa kila mwaka na pia inawashirikisha wafadhili wake akiwemo sabodo.
Vuta subira italetwa hapa muda si mrefu.
kuna kile chama cha kule uingereza na shirika moja la kidini la ujerumani linaitwa conrad nao ni wafadhili wakubwa wa chama hiki ambao kimsingi ndo wanaopaswa zaidi kujua matumizi ya chama kwa kuwa wao ndo wanaotoa pesa zao.ila kwa kukumegea tu,asilimia kubwa itakuwa imetumika kufanikisha maandamano.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…