Ingia hapa On air ? RT
Huyu alikuwa ni kiongozi wa kweli.
Sifahamu ni kwanini Chavez na viongozi wengine wa Amerika ya kusini wanasumbuliwa na magonjwa tena kwa kufuatana.
Kuna raisi Cristina Fernandez de Kirchner wa Argentina, raisi Dilma Rousseff wa Brazil na yule wa Paraguay bwana Fernando Lugo wote wanaumwaumwa.
RIP Hugo Chavez.
inaonekana wanaumwa magonjwa ya CIA!
Kikwete haendi kwenye maziko? RIP Chavez!