Wananchi wamkataa afisa mtendaji wao

Hearten

Member
Joined
May 17, 2016
Messages
46
Points
125

Hearten

Member
Joined May 17, 2016
46 125
Habari wanajamvi la JF,

Kuonyesha ukomavu katika kufuatilia maslahi yao wananchi wa kata ya Kilema Kusini katika mji mdogo wa Himo wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamemkataa Afisa Mtendaji wa kata hiyo na kufunga ofisi yake kwa tuhuma za ubadhiifu wa fedha za miradi, michango ya wananchi, kuwapiga wananchi na kuchochea migogoro ya ardhi na vurugu.

Nanyi huko mnakoishi igeni huu mfano........
 

Forum statistics

Threads 1,389,041
Members 527,837
Posts 34,016,064
Top