Wewe pimbi unayeshinda humu UKIDANGA ndo wa hovyoAfrica bado Sana yaani wananchi wanachanganyikiwa hivyo na kujichafua mavumbi kisa kumtafutia mtu kazi(pesa)
Mzee Nyerere aliposema maadui zetu Ujinga,Maradhi na Umasikini yule mzee alikua Genius tumeshindwa kabisa kupambana navyo hayo ni matokeo ya hao maaduiAfrica bado Sana yaani wananchi wanachanganyikiwa hivyo na kujichafua mavumbi kisa kumtafutia mtu kazi(pesa)
🤣 🤣 🤣 🔊Mwenyekiti wenu mwenyewe ni wa mchongo itakuaje Kwa madiwani na wabunge?
Hii ndio Tanzania mjomba ...channel ya vichekesho huko kuzimu wakitaka kucheka..Africa bado Sana yaani wananchi wanachanganyikiwa hivyo na kujichafua mavumbi kisa kumtafutia mtu kazi(pesa)
We Kumah kweli kama unavyojiita kweli ni MKOJO..Wewe pimbi unayeshinda humu UKIDANGA ndo wa hovyo
Hana akili huyo yaani anavoona raia wanafsnya vituko ye anaona Sawa..ubunge NI WA mbunge sio wa wananchiWe Kumah kweli kama unavyojiita kweli ni MKOJO..
Warudishieni majina yao.Acheni ujanja ujanja.Wananchi wa Kata ya Shambalayi Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wameandana hadi ofisi ya chama cha mapinduzi (CCM) Kupinga uamuzi wa majina yaliyo rudi kuwa hawayahitaji na badala yake majina wanayo yahitaji hayajarudi.
Wananchi hao wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Kuingilia kati kwa kueleza kuwa viongozi waliyo ngazi ya chini wanaweza kumkosesha kura ingawa wao kama wananchama na wananchi wakonae sambamba kwa mitano tena.
Watamkosesha kura? Uchaguzi wote ushaibwa zamani, sasa hivi ni viini macho tu.Wananchi wa Kata ya Shambalayi Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wameandana hadi ofisi ya chama cha mapinduzi (CCM) Kupinga uamuzi wa majina yaliyo rudi kuwa hawayahitaji na badala yake majina wanayo yahitaji hayajarudi.
Wananchi hao wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Kuingilia kati kwa kueleza kuwa viongozi waliyo ngazi ya chini wanaweza kumkosesha kura ingawa wao kama wananchama na wananchi wakonae sambamba kwa mitano tena.