Vikao vya Kamati za siasa za Wilaya ndo vinakaa leo kwa ajili ya kujadili na kutoa mapendekezo yao kwa kamati za siasa za mikoa.
Vikao vya kamati za siasa za Mikoa vinatarajiwa kukaa kuanzia tarehe 9, ndivyo vitapendekeza majina matatu kwa ajili ya kupigiwa kura.
KInachoendelea hapo ni siasa za maji taka. Wamejuaje kuwa jina lake litarudi?