MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
Naomba tukumbushane historia mbichi kabisa, waliomfurumusha Hussein Mubarak kutoka Madarakani sio wanasiasa, Kijana aliyejichoma moto tunisia na kuacha laana nyuma yake hakuwa analalamikia wizi wa kura, waliomkamata Gadafi kwenye mtaro wa daraja walikuwa hawajebaba bendera ya chama chochote kile cha siasa, Hata sasa huko Siria wananchi hawapiganii kuundwa katika mpya wala kuwa na tume huru ya Uchaguzi.
Kwanza ningetaka kujua ww ni nani ila kwa ufupi ningesema ww ni Mipasho ya MAGAMBA.Nikuulize kuwa ww nani alikwambia kuwa Watz hawaitaki CDM.Na ni nani kasema CDM ni ya Wachaga.Acha kuwa na fikra potofu.Watz tushajanjaruka na hatutaki Propaganda.Kati ya CDM na CCM ni nani chama cha Familia.Obvious ni CCM.Kwa ufupi angalia Arumeru, Eti mpeni SIOI ubunge ana majukumu ya kifamilia.Kwa ni mtanzania yupi asiekuwa na majukumu ya kifamilia.Ningekushauri uwe na fikra endelevu, kwanza noi bora ukafanya Research. WITHOUT RESEARCH,NO RIGHT TO SPEAK. CCM ndio chama cha familia,na kurithishana au ww Huoni.ACHA KUWA NA MAWAZO MGANDO YA KCCM.
Maneno ya namna hii huwa yanapatikana kwa akina mama waimba taarabu! majungu, majungu! Huwezi kutetea CCM kama unajua hali ya nchi hii ilivyo mbaya!
Kuna upotoshaji mkubwa sana unafanyika hivi sasa ambao unafanyika katika namna ya hatari sana, naiweza kuifafanisha namna hiyo sawa sawa na mtu anaesema moto ni joto au upofu ni usingizi. Wanasiasa waliomadarakani wanajaribu kuyawekea mahitaji ya wananchi dhana ya kisiasa.
Wakati wananchi wanasema tunataka Mfumo bora wa elimu watawala wanasema CHADEMA haiwezi kuuleta, sababu DR SLAA Aliiba pesa kanisani.
Wananchi wanasema tunataka mfumuko wa bei udhibitiwe, watawala wanasema CHADEMA haiwezi kudhiti mfumuko wa bei sababu MBOWE ni DJ
Wananchi wanasema tunataka huduma bora za afya, watawala wanasema, DR Slaa anampenda sana Josephine.
Wananchi walia wanakufa njaa, watawala wanasema, CHADEMA ni chama cha Kichaga.
Wananchi wanapiga kelele wanalalamika mariasiri za Taifa letu zinanufaisha wachache na nyingi zinaibiwa na wageni, watawala wetu wanasema Ushindi ni Lazima.
Naomba tukumbushane historia mbichi kabisa, waliomfurumusha Hussein Mubarak kutoka Madarakani sio wanasiasa, Kijana aliyejichoma moto tunisia na kuacha laana nyuma yake hakuwa analalamikia wizi wa kura, waliomkamata Gadafi kwenye mtaro wa daraja walikuwa hawajebaba bendera ya chama chochote kile cha siasa, Hata sasa huko Siria wananchi hawapiganii kuundwa katika mpya wala kuwa na tume huru ya Uchaguzi.
Wito wangu kwa viongozi wa CCM ni huu ufuatao.
Kwanza, kuna ushahidi wa kutosha kwamba hivi sasa duniani, mabadiriko yanatokea kwa kasi ambayo haijawahi kutokea huko nyuma katika kila nyanja ya maisha.
Pili na mwisho, Muda si mrefu watanzania watagundua kwamba wanachokihitaji sio katiba mpya na wala sio tume huru ya uchaguzi wala sio maridhiano ya kitaifa ya namna yoyote ile wala sio ushindi wa wagombea wao.
Narudia tena, Punde kidogo, upepo wa mabadiriko utabidiri mkondo wake, watu watakapoamua kuweka magwanda na kuachana na ustaarabu wa kuonyeshana alama ya V sijui mtawaambia nini.
King xvi, nashukuru mods wameipiga ID yako ya zamani LIFE BAN.
mkuu wewe una akili mgando sana.hujui chanzo halisi cha mgogoro wa mashariki ya kati umeamua kuonyesha uchi wako hapa jukwaani.waliomkamata Gadafi kwenye mtaro wa daraja walikuwa hawajebaba bendera ya chama chochote kile cha siasa, Hata sasa huko Siria wananchi hawapiganii kuundwa katika mpya wala kuwa na tume huru ya Uchaguzi.
CHadema oye
Chadema oye
Dr SLAA oye
Mbowe oye
Chadema wakichukua nchi mfuko wa cement utauzwa 5000 kwa Mfuko wananchi wataondokana na nyumba za tembe wanakaa kwenye nyumba za tembe kwakua wameichagua CCM.
Chadema wakichukua nchi, hakutakua na mfumuko wa Bei hata Kidogo na sukari itauzwa tsh 500 kwa kilo
Mafuta lita itakua tsh 200 kwa lita sio Kama sasa hivi serikali ya CCM imeshindwa....
Mishahara ya Madaktari itakua million 30 kwa mwezi na Kama wakigoma itawaongezea mpaka million 50 hivi
Hakutakua na migomo tena na nchi itakua Kama pepo ndogo kwani maombi yatatamalaki kila kona.
Walimu watalipwa kima cha chini Million 7.
Wanaharakati wote watasimamisha shughuli zao kwani hawatakua tena na shughuli za kufanya.
Na mengine Mengi Mengi kabisa....
Tuichague chadema jamani ndio suluhisho la matatizo yetu Tanzania...