Wanamichezo tujikumbushe ya enzi hizo.

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,845
2,938
Nakumbuka enzi hizo mchezo wa mpira wa miguu sheria zikikanyagwa na wababe. Mfano tulioishi vijijini tumejionea mengi. Unakuta mtu anaanua mpira halafu anamkanyaga mwenzake matakoni, au anampiga kanzu akiruka anakatwa mtama anaanguka au kama ni forward mkali anatiwa kidole. Haya yote hayakuonekana madhambi. Karibuni tuongezee ubabe wa enzi hizo.
 
Back
Top Bottom