Wanalazimisha kupewa mimba

Ahsante sana mkuu!
 
Hata me kuna mmoja ni single jamaa alimtelekeze now anataka nimtie mimba azae wa pili kama nu anayo na amejiajir pia
 
Inaelekea unachukua waliokwenda age Sana.

Ila sio mbaya ukiongeza wengine wa 5 uwe nao 7 mama tofauti.
 
Unajiona kidume eti "uzalishe watawalea wenyewe". Unajua maana ya hilo neno.? Watakulelea hadi lini, hao watoto sio damu zako hata huko watapokulia.? Unadhani wataendelea kuwa watoto hawatokua.? Ni story umetengeneza ila hata kama ni kweli mana yake nini, smh.
 
Unapiga nyama kwa nyama?Wote tumuombee safari ya haraka marehemu mtarajiwa!Aaaaaaaaaaamina.
 
Verrrrrrrry correct. Mimi mwenyewe ninao wawili. Kama unauwezo zaa nao tu il wataadharishe kabla kuwa watoto mtalea wemeywe.
unajua maumivu ya kutotambulishwa BABA kwa mwanao??? umewah kutengwa kutohudhulia HARUSI y mwanao na mjukuu akizaliw haumshiki wala kufahamishwa? usipend kujichukulia mambo kiurahs ivo.
 
Unapiga nyama kwa nyama?Wote tumuombee safari ya haraka marehemu mtarajiwa!Aaaaaaaaaaamina.
Siwezi piga nyama kwa nyama mkuu najipenda sana na napenda maisha yangu. Hata tukitoka kupima ngwengwe na manzi huwa bado sikubali kupiga kavu kavu.
 
wanataka wakukatishe ndoto zako,,, na utakufa mapema na kuzikwa maskini / kimasikin.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…