Mkuu nadhan huwajui wanawake vizuri. Anapokuambia umpe mimba sio km anakupenda sana huenda anakupenda ila anachokitaka ni kukumiliki na pia awe huru wakati wwte. Na pia ni gia ya kumuoa na kumuhudumia yy.
Nakuomba achana kukimbizana na sketi mkuu, papuch huwa haziishagi utamu hata km utembee na watu 200. Oa si unajua magonjwa mengi mkuu
Unatesa watoto, hiv ushawahi lelewa na mama wa kambo au baba wa kambo? Uliza watakupa jibu zuri
kuzaa na mama tofauti ni kuwatesa watoto na pia ni kuwajengea matabaka watoto. Ulishawahi kuwachunguza watoto waliozaliwa na mama mmoja baba tofauti au baba mmoja na mama tofauti?
Kiuhalisia weng wao huwa hawapendani na huwa hawasaidiani ktk maisha. ni wachache sana. Chunguza hilo mkuu utakubaliana na mm.
Halafu mkuu sio ufahari kutembea na wanawake wengi, na kwa mujibu wako hao wanatafuta uhakika wa maisha tu hakuna lolote.
Haya ukishawapa mimba unafikiri watakuacha?!
Tegemea kuhudumia tu, hakuna jinsi.
Ukiwa na wanawake wengi hata kuendelea kimaendeleo ni ngumu hata km una mshahara wa milion 2 kwa mwezi. Huyu atataka hiki yule kile. Mwisho wa siku unastaafu hata kiwanja hauna.
Tulia kijana wangu