LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 28,760 Reaction score 45,236 Dec 15, 2015 #1 Mabadiliko tunayoyaona Duniani ni mkusanyiko w maarifa, ujuzi,ubunifu na uvumbuzi,vitu vinachangia watu kuwa na nguvu za kuunda na kubuni vitu,huduma na teknolojia.Je wanafunzi ''WANAOFELI''mitihani yao ya mwisho wanakwenda wapi na hayo MAARIFA?
Mabadiliko tunayoyaona Duniani ni mkusanyiko w maarifa, ujuzi,ubunifu na uvumbuzi,vitu vinachangia watu kuwa na nguvu za kuunda na kubuni vitu,huduma na teknolojia.Je wanafunzi ''WANAOFELI''mitihani yao ya mwisho wanakwenda wapi na hayo MAARIFA?
B babakaelyn Member Joined Oct 16, 2015 Posts 11 Reaction score 1 Dec 15, 2015 #2 Wanafanya yao, Mbona hujaoji mtu kusomea ualimu Lakini anauza pharmacy
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 28,760 Reaction score 45,236 Dec 15, 2015 Thread starter #3 babakaelyn said: Wanafanya yao, Mbona hujaoji mtu kusomea ualimu Lakini anauza pharmacy Click to expand... Alipata cheti cha ualimu lakini?
babakaelyn said: Wanafanya yao, Mbona hujaoji mtu kusomea ualimu Lakini anauza pharmacy Click to expand... Alipata cheti cha ualimu lakini?