Wanakula vyangu lkn hawataki kutoa!

Mbona sasa wanatafuna kuku zangu,nawao c watafute wa hadhi zao! Saiv ckubal asee

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wewe, kumlisha dem vipande viwili vya kuku ndio unataka umtafune? Wakati wenzako wanazama mfukoni, yani mtt kabla hajatafunwa ashapigwa kama 50K.
Cha muhimu, usitapanye rasilimali fedha kwa madem wengi wakati mmoja. Kuliko kuunguza laki kwa madem kumi afu ukawakosa wote, ni bora hiyo laki uunguze kwa dem mmoja hadi umpate!
 
Utaliwaje hafu asepe bila kuchinja
Siku hizi nipe nikupe

Lasivo we dalali utabaki kuwadalalia wenzio tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…