Nimeshadate wanawake kadhaa lkn wakiniwahi na kutafuna vyangu hua wanasepa mazima!. Kwel nimeamini hiz n zama za kuviziana na kulipa visasi,anaemuwahi mwenzie ndo bas tena.Wakuu hua mnatumia mbinu gan pindi mtoto mzur anapokulia vyako na kusepa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nihonge halafu nitakuambia siku hizi 2019 sitoi ushauri wa bure uliza wenzako humu wamefanikiwa na maushauri ya bure hata waliokosa wake wamepataNimeshadate wanawake kadhaa lkn wakiniwahi na kutafuna vyangu hua wanasepa mazima!. Kwel nimeamini hiz n zama za kuviziana na kulipa visasi,anaemuwahi mwenzie ndo bas tena.Wakuu hua mnatumia mbinu gan pindi mtoto mzur anapokulia vyako na kusepa?
Sent using Jamii Forums mobile app
'Supersonic age'Nimeshadate wanawake kadhaa lkn wakiniwahi na kutafuna vyangu hua wanasepa mazima!. Kwel nimeamini hiz n zama za kuviziana na kulipa visasi,anaemuwahi mwenzie ndo bas tena.Wakuu hua mnatumia mbinu gan pindi mtoto mzur anapokulia vyako na kusepa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pm unipatie no.nikutumie m pesaaNihonge halafu nitakuambia siku hizi 2019 sitoi ushauri wa bure uliza wenzako humu wamefanikiwa na maushauri ya bure hata waliokosa wake wamepata
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana una pesa halafu huna swaga, au kimoja wapo Kati ya hivi
1. Unanuka mdomo
2. Sura mbaya kichwa Kama kiberiti
3. ... Na mengine yanayofanana na hayo
**Pesa si kila kitu
Pesa hazijawahi nuka, imagine kuna watu wanahifadhi pesa kwenye mapumbu lakini bado zina thamani
So hisia zipo kwenye kutafuna kuku tu au!Watakuwa hawana hisia ndio maana hawataki kutoa
Pesa hazijawahi nuka, imagine kuna watu wanahifadhi pesa kwenye mapumbu lakini bado zina thamani
ha ha ha ha ili kukutanisha viungo hisia zinatakiwa zikutane;tofauti na hapo wanakuwa hawajapenda
Tafuta wa hadhi yako. Achana na wa matawi ya juu!
ha ha ha ha haMbona sasa wanatafuna kuku zangu,nawao c watafute wa hadhi zao! Saiv ckubal asee
Sent using Jamii Forums mobile app