Wananchi wanaohudhuria mikutano ya CHADEMA wanakuja wenyewe kwa nauli zao na utashi wao, hakuna anayewalazimisha wala kuwalipia nauli, ni kwa mapenzi yao kwa chama.
View attachment 1558969
View attachment 1558970
Uzinduzi wa kampeni Dodoma
Sisi tunaona na tunafahamu kuwa wananchi wanasombwa na malori ili wajaze mikutano ya CCM, hiyo HAINISTUI.
Namuomba mgombea uraisi wa CHADEMA ahamishie nguvu kubwa vijijini, wananchi wa mjini wanamuelewa sana. Anaposafiri, ahakikishe taarifa zinatolewa huko njiani ili asimame awasalimie wananchi katika centre anapopita.
Ule wimbo wa CHADEMA CHADEMA, PEOPLES POWER utumike huku vijijini, wananchi wanapenda amsha amsha. Pia tutakuwa tunamuenzi mtunzi